Mfahamu Mohamed Said mdau wa JF ambe ni JF expert Member tangu 2008
Mohamed Said Salum (alizaliwa tarehe 25 Februari, 1952, Gerezani, Dar es Salaam) ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchini Tanzania. Ametunga vitabu mbalimbali, lakini anafahamika zaidi kwa kitabu chake cha "Maisha na Nyakati...