mohamed salah

  1. JanguKamaJangu

    Takwimu za Ulaya wiki hii, Bruno Fernandes, Raheem Sterling, Mohamed Salah

    Hat-trick ya Bruno Fernandes dhidi ya Real Sociedad ni ya kwanza kwa Manchester United katika Michuano ya Ulaya tangu Marcus Rashford alivyofunga vs. RB Leipzig (2020), pia ni ya kwanza Europa League tangu Zlatan alivyofunga vs. St-Etienne (2016) Raheem Sterling ni Mchezaji wa Kwanza wa...
  2. JanguKamaJangu

    Thierry Henry asema katika mbio za Tuzo ya Ballon d'Or, Raphinha yupo mbele ya Mohamed Salah

    Nguli wa soka Thierry Henry amesema kuhusu Tuzo zijazo za Ballon d'Or, Mbrazil wa Barcelona FC, Raphinha ana nafasi kubwa kutokana na takwimu nzuri na ameonyesha kiwango Bora zaidi ya Mohamed Salah wa Liverpool Amesema "Raphinha ana Magoli 11 katika UEFA Champions League, anafanya vizuri katika...
  3. JanguKamaJangu

    Virgil van Dijk asema Liverpool haijampa mkataba mpya

    Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha yake yasiwe marefu kikosini hapo. Mbali na Van Dijk mastaa wengine wat imu hiyo ambao mikataba yao...
Back
Top Bottom