Khalid Salum Mohamed (born 5 October 1961) is a Zanzibari/Tanzanian politician and House Representative for Donge Constituency since 2016. Khalid Mohamed was a finalist in the 2020 CCM Zanzibar presidential primaries and lost the nomination to Dr. Hussein Mwinyi.
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Nchi zenye mitaji ya uwekezaji mkubwa duniani kwa sasa zipo Uarabuni.
Waarabu hawa wamewekeza kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Ulaya. Kwa DP World wana mtaji mkubwa wa kifedha, hakuna nchi inayofanya biashara bila kuruhusu sekta binafsi.
Amesisitiza kuwa...
Bunge ndio sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Serikali haiwezi kupokea maoni ya mtu mmoja mmoja kutoka nchi nzima kuhusu suala hili la Bandari.
Kwenye kujadili mkataba, ni wajibu wa Mbunge kupata maoni ya watu wake kwa kuwa ndiye muwakilishi wao, na Bunge hukaribisha maoni kabla ya kupitisha...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo.
Salum amesema japokuwa Bandari ni suala la Muungano, Utelekelezaji wake sio wa kimuungano kwa kuwa Zanzibar wana mamlaka zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.