Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo.
Salum amesema japokuwa Bandari ni suala la Muungano, Utelekelezaji wake sio wa kimuungano kwa kuwa Zanzibar wana mamlaka zao...