Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Lindi imemhukumu Mohamed Said Selemani mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Ng'apa wilaya ya Lindi, kwenda jela kutumikia kifungo cha maisha na kumlipa muhanga fidia ya shilingi 1,000,000/= kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 4 jinsia ya kiume...