PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na...