mohammed ali kawaida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ndugu Mohamed Ali Kawaida kuongoza Kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa leo Septemba 17 2024

    NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024 📍UVCCM TAIFA 17 Septemba,2024 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
  2. S

    Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya UVCCM Katika Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR) cha Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa...
Back
Top Bottom