Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Kawaida amemjibu aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema akisema kazi ya usafirishaji abiria kwa kutumia bodaboda si laana, bali ni kazi iliyoajiri vijana wengi.
Machi 2023 baada ya kurejea nchini akitokea...