Wakuu,
Wakienda kukata rufaa wanakuta ofisi zimefungwa! Imekuwa kama mchezo wa paka na panya!
====
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ambao hawakutendewa haki, bado wanayo...
Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na machinga wa Buhongwa, hadi mkaamua kuwapeleka kwenye dampo la kumwaga uchafu na taka mlilojenga...
Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri.
Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku.
Ikumbukwe ya kuwa...
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025.
Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia Tanzania Kupambana na Wanyama Waharibifu katika maeneo ya Kusini mwa Tanzania.
Mkataba huo umetiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.