Wadau hamjamboni nyote?
IDF wanaendelea kuyashughulikia magaidi kwa mwendokasi
Mtoto wa gaidi maarufu Zakaria Zubeidi ni miongoni mwa Wapalestina watano walioripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel jana usiku katika Ukingo wa Magharibi, kwa mujibu wa vyombo vya...