moja kwa moja

Durban Stars is a semi-professional association football club based in the Chatsworth suburb of Durban, in the KwaZulu-Natal province of South Africa. The club was founded in July 2003, when the businessman Phindani Nene acquired the Castle League franchise of the National First Division club Moja United from Pietermaritzburg, and thereby established his new club Durban Stars FC, directly into the second level of South African football. The club played at that level from 2003–09, before being relegated to Vodacom League.
At the subsequent 2009–10 season, the club got relegated to the fourth level, known as the SAB Regional League, after having received no less than 14 "disciplinary 0–2 defeats" from SAFA. Presumably, the disciplinary irregularity arose from the fact that the team had fielded ineligible players during almost half of the matches in the season. To avoid the relegation for the fourth level, the club decided to buy the Castle League franchise of Globe City in Vodacom League. In the 2010–11 season, the newly reinforced Durban Stars won the KwaZulu-Natal division of Vodacom League. In June 2011, they participated in the Vodacom League playoffs, competing for a promotion back to the National First Division.

View More On Wikipedia.org
  1. Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia mfumo wa gesi uliofungwa toka kiwandani moja kwa moja

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini. Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David...
  2. Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  3. Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  4. Je, nirudiane nae au niachane nae moja kwa moja?

    .
  5. Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  6. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  7. Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  8. Samia akitoka Dubai kutua moja kwa moja Tanesco Nyakato Mwanza

    Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza. Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa. Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa...
  9. Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker...
  10. Mr Beast ajenga visima 100 vya maji barani Afrika

    Kwa project hii ataweza kunywesha maji watu takribani laki tano. Nchi alizozigusa ni Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon Kwa msiemjua Mr beast, ni youtuber ambae kipato chake huki wekeza katika michezo ya kusaidia watu kifedha na projects za kusaidia jamii. Hongera kwake...
  11. E

    Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  12. S

    Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  13. Jinsi babu zetu walivyowapa majina watoto wao. Majina yao yalitoka moja kwa moja kwa Mungu muumbaji

    Kabla ya ujio wa dini za wageni Afrika hatukuwaga na majina ya Abdallah wala Paulo . Babu zetu waliwapa watoto wao majina ya kiafrika. Majina waliyatoa moja kwa moja toka kwa Mungu. Ni hivi babu zetu walimjua Mungu kupitia nature. To them nature was the portal which connected them with their...
  14. Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  15. Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

    Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika. Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa...
  16. Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja. -siku yoyote inafungiwa hakuna uhakika itadumu -Hapa bongo hatuna wabunifu wa kubuni mbinu zao kwa vpn ili hata...
  17. Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana moja kwa moja. Athari za baadaye ni kubwa zaidi

    Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna. Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe. Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
  18. Karibu ujipatie Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani

    Habari wapendwa. Kwa Anayehitaji Msaada wa kupata Magodoro ya Tanfoam moja kwa moja kutoka kiwandani. Nipo kumsaidia. +255746482119/+255757637525
  19. Kuna basi la moja kwa moja ama kuunga kutoka Dodoma hadi Mbeya Kuanzia saa tatu asubuhi?

    Habari zenu waheshimiwa, Naombeni mnijuze kama kuna basi la kutoka dodoma hadi Mbeya kuanzia saa tatu asubuhi
  20. L

    Watangazaji wanauza machungwa moja kwa moja kwenye mtandao mkoani Hunan China

    Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…