Hongera Hayati JPM Kwa kuweka mbele kipaumbele cha Lugha yako Mama.
Uliwapa Motisha Viongozi wakuu mbalimbali walionyesha uwazi wao na kutumia Lugha yao katika Majukum yao.
Tukaona Mahakama Sasa zinaanza kutoa Hukumu Kwa Lugha Kiswahili ( Kwa msioelewa , Sheria na Mahakama zake, Zina tumia...