Mwabukusi, Rais TLS, hali ya mahakama za mwanzo ni ya kusikitisha. Kuna wanasheria uchwara wengi. Rais Mwabukusi, sijui kama unajua hali hii hapa Ukonga? Katika mahakama za mwanzo, zipo ofisi za "wanasheria" wa ovyo ambao wanapokea kesi za watu na kuzipeleka mahakama za mwanzo na za juu. Wengine...