monalisa

  1. Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  2. Monalisa ashinda tuzo Kimataifa ya Emmy Kids 2022

    MWIGIZAJI Mtanzania Yvonne Cherrie, maarufu kama ‘Monalisa’ ameshinda tuzo ya kimataifa Emmy Kids 2022 katika series ya ‘My Better World Show’ kwa kuingiza sauti kwa lugha ya Kiingereza. Baada ya ushindi huo, Monalisa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika “Miaka...
  3. Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  4. Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  5. Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

    Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au? Wajuzi naombeni msaada Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa...
  6. Pic Of Your Favorite Celebrity

    Monalisa ni mmoja wa wahusika wenye vipaji na ninampenda Celeb24x7.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…