Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver na palermo. Rio pamoja na kuwa vizuri kwenye IT lakini sikupenda utoto wake.
Upande wa pili kuna...
Wakuu mpo?
Leo nimeona nike kwenye pande za burudani kuna uzi jamaa alianzisha kuwa Michael Scofield ni zaidi ya professor. Nilicheka sana kwa kujua hivi ni vile vitoto viliaminishwa tu havijui whats inside.
Michael Scofield alisifika sana ndani ya Prison Break akicheza kama master mind kwa...
It was worth the wait kusema kweli.
Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah.
Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni...
Habar wadau
Money heist imetoka janq dea 3 sasa mwenye link naomba aweke nidownload nione profesq atqvyomalizana na captqin sagata
Tokyo dead
Helaink kaumia mguu
Atockholm upo adicted akijipiga madawa
Wale jamaa kule chin bado wqnayeyushq dhahabu na wameambiwa waendelee na kaz hata km Yeau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.