Dada mmoja alifiwa na mume wake kwenye ajali yapata mwaka sasa ni mzuri wa kila kitu nikajua mwaka hautaisha ataolewa so nna mishe zangu around anapoishi and simply ni mteja wangu since then, utani mwingi but with respect mwezi uliopita tukaanza kuwasiliana Kawaida tu bila maneno ya kuashiria...
My Soulmate Episode 1
Produced by EquatorStory Specials
Stela :”Nickson uko wapi jamani ?? Mpaka sasa umechelewa sana.”. Ilikuwa ni sauti ya stela akimngojea mpenzi wake Nickson alie kuwa njiani akitokea kazini .
Nickson:”Nimekuona mpenzi hapo ulipo nakuja jamani.”. Nickson alisogea taratibu...
Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.