Naibu katibu Mkuu huyo wa CCM, Taifa, John Mongella amefika Mkoani Shinyanga kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27, mwaka huu.
Sambamba na hilo Mongella ameongoza maandamano makubwa kutoka ofisi za CCM, Mkoa hadi kata ya Kitangili kuhamasisha wananchi...
Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuchagua viongozi bora watakao kuwa watatuzi sahihi wa shida zao na sio kujinufanisha binafsi, sambamba na hilo alipata wasaa wa...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, ametoa wito kwa wananchi wa Ushetu kuendelea kushikamana na chama hicho ili kuleta maendeleo endelevu katika maeneo yao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Bulungwa, Mongella aliwasihi wanachama na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo wamefika nyumbani kwa mwanamke aliyedaiwa kupigwa na mume wake kwa kung’olewa jino kwa praizi pamoja na kutobolewa jicho kwa bisibisi.
Mongella amesema “Viongozi wote wakuu wa Nchi wameshtushwa na taarifa...
Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amezitaka taasisi mbalimbali kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa wa jinsia kati ya wanaume na wanawake ili kuwepo kwa usawa mahala pa kazi.
Ameyasema hayo jijini Arusha wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa Benki ya CRDB walipokutana katika chakula...
Machinga wa Arusha wanajengewa sehemu ya biashara baada ya kuondolewa maeneo yasiyo rasmi. Hata kama hatumpendi Rais Samia kwa hili tumpongeze sana tu. Uongozi siyo maguvu, kelele na matusi bali mipango tu
13 October 2021
Chato, Geita
Tanzania
KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO
Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k
Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?"
Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.