Frameless new monitor Kali mnooo
27 inch
Monitor code 27 B30H
Refresh rate 100hz
Aisee HD yake nibaraa
Aya wateja wangu ambao wanakiasi kidogo ila anataka monitor Kali hiii apa chap chap wahi
Price 580,000/=
Mzigo natuma popote pale ulipo
Instagram @mysetup_tz
Call or WhatsApp 0692562259
Habari ya wakati huu wakuu kuna jambo linanitatiza hapa hii Hp 24 inch nataka kuuziwa 130k na hii lenovo 22 inch nauziwa 180k mimi na ubahili wangu nataka kupita na hii Hp ya 130k ila nahofu why inch 24 inauzwa bei kitonga alafu inch 22 inauzwa bei juu je tofauti ni hiyo frameless au kuna...
Nilijua computer shoga yake ni monitor mwanzo nilikua na tumia TV kama monitor nikawa nahisi siitendei haki hii mashine inabidi niitafutie chakula yake ili viwe sawa leo nimepata muda nikaenda kununua monitor ya nch 20 nafika home nimeconnect ili nione je ni kweli monitor ina picha kali kuliko...
Wakuu habarini za muda huu.
Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana.
Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa.
Kwa kiasi kikubwa bado tunalia na matatizo yale yale; Umaskini,miundo mbinu mibovu,huduma hafifu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.