Mpox is endemic in western and central Africa, with the majority of cases occurring in the Democratic Republic of the Congo (DRC), where the disease is reportable. There, the more virulent clade I has been affecting some of the world's poorest and socially excluded communities.
Many cases occur sporadically or in small clusters, but large outbreaks also occur.
Aina hatari ya homa ya nyani (mpox) inayowaua watoto na kusababisha mimba kutoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiyo inayoweza kuambukiza zaidi na inaweza kusambaa kimataifa, wanasayansi wameonya.
Virusi hivi vinaonekana kusambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia mawasiliano...
Kumetokea uvumi unaosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na uwepo wa ugonjwa hatari nchini CONGO DRC.
Ugonjwa huo unasemekana kuenea na kuambukizwa zaidi kwa njia ya ngono.
Pia inasemwa muathirika huugua kwa kipindi Cha muda mfupi sana (kati ya siku 4 Hadi wiki 2) Hadi kupoteza...