Ukizoea tabia za uongo hata mkeo akikuzalia mtoto utahisi wa mdogo wako ama rafiki yako
Yanga wameandika waraka wanamudhibu Morrison kwa kufanya mahojiano na vyombo vyahabari
Wameandika wana mkataba na Morrison mpaka 2022
Huu ni uhuni. Msikilizeni Morrison anavyosema wazi mkataba wake unaisha...