Hi wanajukwaa
Nimekuja mji x kikazi,nimefika kwenye saa 12 jion,nikabook hotel,nikaoga na kupumzika kidogo.
Mida ya saa 2 usiku wadau wakanipitia room kwangu,tukatoka kupata chakula,then vile ni wikend wakasema tukae tule bata na kuinjoi mziki.Tumeinjoi hadi mida ya saa 4 usiku,mie nikaona...