Peetah Morgan enzi za uhai wake
Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa kwenye ukurasa wao wa Instagram jana Jumapili (Februari 25).
Taarifa ya bendi haikuweka wazi sababu ya...