https://www.youtube.com/watch?v=s1K5o6UUZqU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha Edward Moringe Sokoine (Maisha na Uongozi Wake) kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam, leo tarehe 30 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya...
Mfahamu Sokoine Moringe
Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984).
Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka Monduli, Tanzania.
Alijiunga na Chama cha Tanganyika African National Union (TANU) mwaka 1961...
Edward Moringe Sokoine alizaliwa mnamo 1 Agosti 1938 katika kijiji cha Monduli, mkoani Arusha, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tisa kati ya watoto 13 wa familia ya wafugaji wa kimasai. Sokoine alikulia katika mazingira magumu ya kifugaji na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao.
Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
ajali
barabara
dakika
dkt. mpango
edward
hoja
kufunga
kufunga barabara
kupisha
makamu
makamu wa rais
marufuku
misafara ya viongozi
moringe
mpango
mrefu
msafara
muda
muda mrefu
mzee
rais
sokoine
vipi
yako
Habari za Asubuhi wakuu, hongera kwa maandalizi safi kwa ajili ya sensa na Makazi ya Mwaka huu hapo kesho 23/08/2022.
Leo asubuhi muda kati ya saa mbili mpaka saa tatu. Nina furaha sana, kwa kufanikiwa kusikia sauti ya Hayati E. M. Sokoine kupitia Redio yetu ya Taifa ya TBC FM. Asante sana TBC...
Alijua wazi kabisa huwezi kufanya mambo mawili magumu kwa wakati mmoja, akaona aache cheo kikubwa kabisa cha uwaziri mkuu ili kwenda kutimiza adhima yake ya kujiendeleza kielimu huko nchini Yugolavia ya wakati ule.
Wanzetu hawa utaona leo ni waziri na kesho amedoctorate sasa huwa utafiti...
BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 18:00hrs 03/10/2021
Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini Dar Es Salaam. Eneo linalodaidaiwa ndipo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana...
Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli.
Mzee Kimiti anasema katika kupambana na wahujumu wa uchumi wa taifa letu Dr Magufuli anafanana sana na aliyekuwa...
Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.
Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa Kuwasafirishwa kwenda Arusha Monduli Juu Siku Ya Jumatatu, Na Mazishi Yatafanyika Siku Ya Jumanne Bwana...
Tukiendelea na mijadala mingine nimeonelea niwashirikishe video hii. Nimeulizwa mara kwa mara kuhusu video/ audio ya Edward Sokoine. Katikati upekuzipekuzi wangu nimekutana na hii. (Kuna mtu aliniuliza chemba kuwa angependa kumuona na kumsikia Sokoine) badala ya kusoma tu habari zake. Hii ni...
Habari zenu,
Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni.
Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.