Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa...
Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu.
Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa?
Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja kuipinga/kupinga na kuonekana kama vile hali ni shwari, mkisahau kuwa wanaonipa hizi taarifa zenu nyeti ni wenzenu...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imemfungia michezo mitatu na kumtoza faini ya Shilingi 1,000,000 mchezaji wa timu ya Yanga SC, Bernald Morrison kwa kumkanyaga kwa makusudi mchezaii wa Azam, Lusajo Mwaikenda aliyekuwa ameanguka chini wakati wa harakati za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.