Ikumbukwe taasisi nyingi za serikali ziko Dodoma na wengine wamelazimishwa kuhama wakiwa hawana hata majengo, sasa huyu mpigaji Nehemia Kyando Mchechu anapata wapi uhalali wa kuhamia Morocco Square badala ya kwenda Dodoma, na ikumbukwe mpigaji huyu alikua Mkurugenzi Mkuu wa NHC wamiliki wa hapo...
Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku.
Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.