DC KILAKALA: UKUSANYAJI WA MAPATO KUSAIDIA MOROGORO KUWA JIJI
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Musa Kilakala amesema kuwa Manispaa ya Morogoro haiwezi kufanikiwa kuwa jiji pasipo na mipango thabiti ya ukusanyaji wa mapato ya ndani kupitia vyanzo vyake vya kodi.
Ameeleza hayo wakati wa kikao maalum...
Rais wa JMT amekataa ombi la kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro Kuwa Jiji kama ambavyo mamlaka zimekuwa zikiomba akisema Morogoro Bado sana kufikia hadhi hiyo na kuwataka watimize wajibu wao.
---
Mbunge wa viti maalum Christine Ishengoma amewasilisha ombi la kutaka Halmashauri ya mji wa...
RC wa Morogoro Adam Malima amesema kipaombele chake kikubwa ni kuhakikisha Manispaa ya Morogoro inakuwa Jiji haraka iwezekanavyo lakini akaonya Uchafu wa "Walugulu" na Makusanyo kiduchu ya Manispaa kwamba ndio vikwazo vikubwa.👇👇...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.