Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko sana ndugu yetu Dolph lundgren aliyeigiza kama Warchild
Tujikumbueshe hapa kwa kuutazama uhusika...