Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).
Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
Wakuu,
Mbona vitisho vimekuwa vingi sana kipindi hiko cha karibuni? Yaani kila mtu anamtisha mnyonge wake.
Kuna nini?
========================================================
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe Adam Malima ametishia kuwahamisha baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime tuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa.
Wanaohusika wangeweza kusingizia kuwa hakuna umeme, lakini umeme upo, mabomba yapo na miundombinu yote ipo lakini maju hakuna na hakuna...
Waziri Aweso aunguruma Morogoro
Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika
Amesema “Mahitaji...
1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki.
2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi.
3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia
4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi
4. Waziri wa maji...
Kama kawadia yangu napenda kula raha kila wakti noti zikijaa mfukoni. Jana nilikuwa Morogoro kwenye hotel ya Mbunge Shabib, inaitwa MORENA, njiani kabisa pale Msamvu. Hotel Porsche sana! Kilichonishangaza, maji ni ya kumwaga ukilinganisha na maisha yetu ya Dar. Lakini pia Moro maji ni shiiida...
Niko hapa Morogoro najaribu kutafuta raha itokanayo na huyu anayeitwa Samia. Yaani eti mji mzima una matatizo ya maji. Ajabu ni Wafanyakazi wa MORUWASA ndo wafanyabiashara ya maji.
Nimejiajili na kuanza kuwa mwandishi wa habari za uchunguzi; kuna magari zaidi ya 50 yakizunguka majumbani kuuza...
Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo.
Nikawauliza...
Habari zenu wakuu,
Idara ya maji safi Morogoro mjini (MORUWASA) mnatutesa sana wakazi wa kiegea A na B. Mmetuunganishia haya mabomba lakini hamtaki kutufungulia maji. Mfano leo hii ni zamu yetu ya maji lakini mmefungulia kidogo sana yaani tumekinga ndoo tano tu mmekata. Hizi ndoo tano kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.