Ni jambo la kustaajabisha na kusikitisha sana kusikia watu ambao walijifunza uzalendo kwa kiwango cha juu leo ndiyo wanaishia jela. Makomandoo wote hao nasikia walishiriki vita DRC Congo na walifanya kazi kwa weledi.
Je,tatizo ni vijana wenyewe au ni mfumo kwa anayefahamu, jamani atupe mwanga...