Moja kati ya washambuliaji wasio na mbwembwe wala maneno mengi. Muonekano wa upole lakini killer haswa.
Anageuka haraka, anakimbia na mpira, anatoa pasi, anakaa kwenye nafasi na anajua kuzipasia nyavu.
Hasikiki sana wala hashangilii kwa makeke kama yule wa Congo lakini matokeo yanaonekana...