Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani.
Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau.
Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
#Updates
Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO.
Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter Kidumbuyo ameambatana na Malisa katika mahojiano hayo.
Picha tofauti za Malisa na Boni wakiwa na Wadau...
Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi.
Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa...
Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo
Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano
Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo.
Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo...
Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771....
Asanteee....
Wako katika biashara mtandao...
Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA
KILIMANJARO...,
Kwa mahitaji ya...,
1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,
2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,
3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake ,
4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka
4.1 Ofisi za taasisi,
4.2 GODOWN ,
4.3...
Umbali wa kutoka Moshi Mjini hadi Kikavu chini ni Kilomita 11 tu, nauli ya awali ilikuwa ni Shilingi 600 kabla ya ongezeko la hivi karibuni iliyofanya nauli ya eneo hilo kuwa ni Shilingi 700.
Pamoja na mabadiliko hayo, Daladala zinazoenda njia hiyo hazijawahi kuwatoza kiasi hicho cha nauli...
Habari wandugu,
Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii..
FREMU IPO KARIBU NA...
Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi
Mawasiliano. 0672701329
Nahitaji pc 50 hivi
Asante...
Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya
Zipo hapa. Moshi mjini
Mawasiliano ni. 0672701329
Bei 25,000 kwa kila pallet....
Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika...
Karibuni wandugu.....
Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi.
===========================
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
Kura 18 zimemkataa.
Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi.
Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti.
Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua
Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa.
Nawasilisha,
bloggerboy
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto.
Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.