moshi vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Maoni ya wananchi Moshi Vijijini kuhusu mbunge wao na miundombinu ya barabara

    Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo. Wameongeza kuwa hawatasumbuka tena kupiga kura kwani hakuna inachowasaidia
  2. Kilimanjaro: Maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini

    Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900, Hii ni Leo Jumapili Nov 10, 2024 na huu ni mtambo wa kuchimba kisima kirefu kwenye Kata ya Mabogini...
  3. A

    KERO Tatizo la maji kitongoji cha Uuwo Kati, Kijiji cha Uuwo, kata ya mwika kaskazini, Moshi Vijijini Kilimanjaro

    Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka. Mwaka jana walifanya kuweka mfumo mpya wa bomba za plastiki mitaani wakasema wakikamilisha wote...
  4. A

    KERO Moshi Vijijini: Serikali isaidie Barabara ya Kata ya Mabogoni, haifai hata kidogo

    Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni. Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au kiangazi kipande cha barabara mwisho wa Kituo cha Bajaji Shabaha. Kuna barabara inaitwa Manguzoni kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…