moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Mwenyekiti CCM Moshi Mjini atumia msiba kuwashambulia waliobwagwa kura za maoni 2020

    Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
  2. Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  3. Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  4. Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  5. W

    Tamasha la Kilimanjaro kufanyika Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika, Moshi

    Vikundi zaidi ya 11 kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro vinatarajiwa kuonesha sanaa za maonesho katika Tamasha la Kilimanjaro linalotajiwa kufanyika jumamosi ya Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Moshi. Hayo yamesemwa na Afisa Sanaa wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na...
  6. T

    Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA • Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe •Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na...
  7. I

    Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

    Habari ya leo, Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa Budget ni Million 3 mpaka 4 Asanteni.
  8. B

    Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

    Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi. Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana...
  9. F

    Usalama wa wateja banki ya NBC moshi uko hatarini

    Umeibuka mjadala mkubwa sana kwa wakazi wa mji wa moshi wengi wakihoji mamlaka za serikali kuwa kimyaa kutokana na Baa moja kubwa kujengwa ikipakana na ukuta wa Banki ya NBC Tawi la Kibo Mjini Moshi. Wapo wanaotilia shaka uwepo wa Baa hiyo wakidai inaweza ikaharisha usalama wa wateja wanaotumia...
  10. Moshi unaofukuta Kuna Kila dalili Moto mkubwa utalipuka,mamlaka isidharau dalili hizi

    Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na...
  11. Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
  12. Tulioshindwa kwenda Moshi sababu ya nauli tukutane hapa

    Binafsi nilitamani kwenda sema kila nikipiga jicho naona madogo wanne wanadai ada january, ikabidi tu niwe mpole maana ukienda Moshi lazima ule ada ubakiwe na nauli tu Wale wenzangu na mimi hebu tupeane moyo hapa Uzi tayari
  13. T

    Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

    Wakuu kuna kamba nzito sana hapa Moshi mjini hadi njiapanda ya Himo. Abiria wamekwama today saa moja jioni
  14. Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  15. Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  16. Nipo njiani naelekea Moshi

    Nipo njiani naelekea moshi kwa kutumia ndinga yangu hii.Anaetaka lift anishtue PM.
  17. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  18. B

    Nafasi za Kazi Moshi: Assistant Accountant na Office Administrator

    Nafasi tajwa hapo juu zinahitaji watu. Mshahara ni Tsh. 300,000. Mahali ni Moshi Kilimanjaro. Kama upo interested, tuma cv kwa info@starrich.co.tz NB. Onyesha kazi uliyoomba.
  19. T

    LATRA mnafahamu kwamba mabasi ya Arusha- Moshi hayatoi tiketi kwa abiria?

    Mimi nipo eneo hili la Ukanda huu wa Kaskazini- hasa mikoa hii ya Arusha na Kilimanjaro kwa muda fulani. Kwa muda mfupi ambao nimekuwa huku, nimesafiri kwa nyakati tofauti kwa mabasi madogo (maarufu kama Coaster kwa wenyeji wa huku) kati ya Moshi - Arusha na Arusha- Moshi lakini cha kushangaza...
  20. Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

    Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini. Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga". Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima?? Kuna moto huko....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…