Wengi wa hawa si wahubiri wa neno la Mungu wa kweli. Wataingiza tu maneno kama Yesu Kristo, Mungu Baba, Roho Mtakatifu, Biblia n.k kuwapumbaza watu ila uhalisia ni motivational speakers wanaotumia kichaka cha dini kutumia hamasa zao na kuchukua pesa za watu kwa jina la sadaka, matoleo,fungu...