Hili tukio limenisikitisha sana. Moto mkubwa ulitokea May, 28 siku 4 zilizopita katika shule ya bweni ya wasichana na kuua wanafunzi 16.
Siku chache baada ya wanafunzi 16 kuteketea kwa moto katika high school ya Utumishi Girls iliyopo Gilgil nchini Kenya, polisi wamefanikiwa kupata CCTV footage...