Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema hivyo kwasababu, mfano matokeo ya ajali ya moto huu moto wa msituni.
Huu ulitokea Los Angeles au...
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Carlos Vela amepoteza nyumba yake ya kifahari ya Malibu katika eneo la Moto wa maangamizi wa Los Angeles
Angalau miundo 5,000 imeharibiwa katika kile kinachotarajiwa kuwa moto wa maangamizi makubwa zaidi katika historia ya Marekani
Ben Affleck, Paris Hilton na...
Ila hapa duniani kuna watu na viatu kwa kweli!
Sasa mtu anatumwa na halmashauri yake ya kichwa anaenda kuwasha moto duh hii ni balaa tupu. Pole zao wote walipata janga hili kubwa.
=====================
Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) imesema inamshikilia mtu mmoja anayedaiwa kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.