Moto mkali umezuka katika eneo la juu la Pacific Palisades huko Los Angeles, na kusababisha uhamishaji wa hofu.
Moto huo, unaosababishwa na upepo mkali wa Santa Ana , tayari umeteketeza karibu ekari 3,000 (hekta 1,200) na kuharibu nyumba nyingi.
Takriban wakaazi 30,000 wameamriwa kuhama huku...