motor

  1. Dear_me_

    Motor ya mlango na cable yake Noah voxy 2006

    Wakuu mambo vipi Na uhitaji wa spare Motor ya mlango wa kushoto na na cable yake Noah voxy nitashukuru sana
  2. presider

    Tunafanya moto rewinding, kusuka na kufanya repairing motor na vinu vya jenereta

    Sisi wa watalaam wa kusuka motor zozote kuanzia 1horse power hadi 1000horse power. Pia tunasuka vinu vya Generator kuanzia 5kva to 2000kva. Offuce ipo Tabata Relin. Tuna wakaribisha company, Taasi yoyote pamoja na watu binafsi Karibuni sana 0693296809
Back
Top Bottom