Mawakili wa Rais wa zamani wa Guinea, Moussa Dadis Camara, wanasema amepelekwa jela kabla ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kuhusika katika mauaji ya Halaiki ya Mwaka 2009.
Rais huyo anakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji, ambapo watu 156 waliuawa na maelfu kujeruhiwa huku zaidi...