MNAYAKUMBUKA LAKINI YALE MATUSI YENU??
Walikuwa hawazijuhi shida za kwenye duara kama hawajakutana na huyu mwanaume pale kati.
Wanamkubuka vizuri tu, chini alikuwa anasimama yeye na Victor wa Nairobi halafu mbele yao yupo fundi mmoja kutoka Scandinavia ambaye sasa hivi anawafanya United...