Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.
Mwaka 2025 utatutibu maumivu:
Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar...
SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika.
Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea.
Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine
Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia
Pia kuna
Captain Philips bonge la movie
Death race
Kuna moja mauwaji ya #Rebel
It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum!
Tazama hapa ....
1. THE 8th NIGHT
Miaka alfu mbili...
Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022...
Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa;
1. All That Breathes
2. Emily
3. Wendell & Wild
4. Black Adam
5. The Banshees of Inisherin
6. My Policeman
7. Decision to Leave
8. Triangle of Sadness
9. The Lost King
10. Ticket to Paradise
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu
1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.