Niv Art Movies is a film production company in New Delhi state, India established in the year 2008. Shaji Mathew, a Delhi based Malayali is the proprietor of the firm. It has produced 6 Malayalam films 5 out of the 6 films produced by the company are directed by Sanal Kumar Sasidharan
Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu
Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu
Hii nayo pia ni ya mwaka huu companion kwa kiswahili ni mwenzi sasa unajua Nini kilitokea ni hivi...
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
Huyu mwamba ukimsikiliza vzuri kwanza ana uelewa mpana wa anachokifanya kuanzia lugha nahisi zinafika lugha nne za kimataifa na pia kiingereza ndo yuko vizuri mana hategemei subtittle.
Ukiachana na hayo napenda sana atafsiri movie yenye maudhui ya kijasusi na ki...
Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa...
Wakuu kwema
Mbele yenu nina list ya drama ambazo zilinisikitisha me personally baada ya kuziangalia, ziko nyingi but nimezi-compress hadi nimetoka na kumi tuu, ambazo naamini ukienda kuziangalia hutotoka empty handed.
Honourable mentions;
All Quiet on the Western Front
The Boy in the stripped...
Tamthiliya za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika
Tamthilia na filamu nyingi za Kichina ambazo zinatafsiriwa kwa lugha mbalimbali, zinazidi kujizolea umaarufu na kupata mashabiki wengi katika majukwaa mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa tasnia ya burudani ya...
1. VACANCY.
Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni.
Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.