1. VACANCY.
Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni.
Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko...