Hawa wadudu wanatuendesha kila kukicha.
Umewahi kukutana na kauli za kukera, kuvunja moyo ama kuujaza moyo hasira, kukatisha tamaa kutoka kwa mwanamke?
Baadhi ya kauli ambazo zinanikera ni ile ya "Halafu baby, nimechukua hela yangu nimesukia nywele za elfu arobaini, nimenunua lotion ya elfu...