mozambique

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  2. B

    Mwenyekiti Rais Samia Hassan -"SADC inatoa wito kwa pande zote Mozambique kujizuia na kujiepusha na vitendo vinavyozidisha ghasia na machafuko"

    Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani". 02 Januari 2025 Picha ya faili: AIM Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia katika kukabiliana na maandamano ya baada ya uchaguzi nchini Msumbiji, ikitetea mazungumzo "ya amani...
  3. Suley2019

    Msumbiji: Wafungwa 6,000 watoroka gereza lenye ulinzi mkali wakati ghasia za Uchaguzi zikiendelea

    MAPUTO, Msumbiji (AP) — Takriban wafungwa 6,000 walitoroka kutoka gereza lenye ulinzi mkali katika mji mkuu wa Msumbiji siku ya Krismasi baada ya uasi, kwa mujibu wa Mkuu wa Polisi wa nchi hiyo, Bernardino Rafael. Tukio hilo limetokea wakati nchi ikikumbwa na vurugu za baada ya uchaguzi. Rafael...
  4. Mindyou

    Maandamano yazidi kushika Mozambique baada ya waandamanaji kufunga na kushikilia barabara zote za mji wa Maputo

    Kuanzia siku ya Alhamisi barabara kuu za zinzoeleke katikati ya jiji la Maputo na mji wa Matola zilikuwa kimya na zenye utulivu mno. Chawa na waandamanaji wanaomuunga mkono mgombea wa Urais Vennancio Mondlane walifunga jiji zima wakihitaji matokeo waliyoyaita ya ukweli. Kwa kawaida mji wa...
  5. Logikos

    Bendera ya Mozambique (Msumbuji), Je ni Wakati wa kutoa hii AK 47

    Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ? Clothes Make the...
  6. B

    Mahakama ya Kikatiba ya Msumbiji, yakubali kura zirudiwe kuhesabiwa

    07 November 2024 Maputo, Mozambique MAHAKAMA YA KIKATIBA MOZAMBIQUE YAKUBALI MAOMBI YA CHAMA CHA PODEMOS, KURA ZIRUDIWE KUHESABIWE https://m.youtube.com/watch?v=AVFt6_Ok56U Chama cha upinzani PODEMOS nchini Mozambique pamoja na cha PAO wamepeleka ushahidi wa kilo Mia tatu za ushahidi katika...
  7. and 300

    Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

    Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa. Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa. Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia. NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
  8. Ojuolegbha

    Mahmoud Thabit Kombo: Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region

    Tanzania's Minister of Foreign Affairs Hon. Mahmoud Thabit Kombo Says Tanzania and Mozambique have worked together to bring peace and security in the Cabo Delgado region. The region has experience sporadic attacks by militants in that area. Kombo spoke to international news editor Sophie...
  9. ChoiceVariable

    Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

    Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa. Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo...
  10. I

    Mozambique: Abantu 90 Bishwe No Kurohama

    Kuri iki Cyumweru abantu barohamye mu bwato bwaganaga ku kirwa cya Nampula muri Mozambique, abagera kuri 90 bahasiga ubuzima. Amakuru avuga ko intandaro y’iyi mpanuka ari uburemere bukabije bw’abantu n’ibintu byari biburimo. Umuyobozi w’Intara ya Nampula yabwiye RFI ko ubwo bwato bwarimo...
  11. R

    Ujio wa DP World, kuimarika kwa kundi la Ugaidi Mozambique, kudhoofu kwa Usalama Kongo na uwepo wa Alshaabaab tuviangalie kwa mapana

    Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki. Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
  12. bahati93

    Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  13. ndiuka

    US slaps Tanzanian with sanctions for bankrolling Mozambique terror

    US slaps Tanzanian with sanctions for bankrolling Mozambique terror The US Treasury Department’s Office of Foreign Assets Control (OFAC) has singled out four people based in South Africa as financial facilitators of the Islamic State of Iraq and Syria (Isis) and Isis-Mozambique (Isis-M). The...
  14. nyboma

    Kama majeshi ya Rwanda yaliwamaliza magaidi wa Cabo Delgado ndani ya wiki moja, hawa viongozi wetu wa ulinzi walienda kufanya nini Msumbiji?

    Hakika nimeamini vita dhidi ya ugaidi inahitaji akili kubwa mno kuliko matumizi ya nguvu, ni miezi michache tu iliyopita tulitangaziwa na kuaminishwa ya kwamba magaidi ambao walikuwa wameshikilia jimbo la Cabo delgado walipigwa na kumalizwa na jeshi kutoka rwanda. Ila hivi karibuni tena...
  15. Mohamed Said

    Wazulu wa Imhambane, Kwalikunyu - Msumbiji katika kupigania Uhuru wa Tanganyika

    WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim. "Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas Plantan. Baba yake ni Thomas Saudtz Plantan na alikuwa Mwalimu Mkuu wa Mchikichini Primary School na...
  16. B

    RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique

    4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
  17. Genecandy

    Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
  18. Mr Putin

    Fagia Fagia huko Cabo delgado Mozambique

    RDF wakifanya yao
  19. Geza Ulole

    SA troops arrive in Mozambique to fight insurgents

    SA troops arrive in Mozambique to fight insurgents dailymaverick.co.za/article/2021-07-21-sa-troops-arrive-in-mozambique-to-fight-insurgents/amp July 21, 2021 The advance party has arrived, despite calls for the defence minister to focus her forces on South Africa’s own ‘attempted...
  20. ndiuka

    Rwandan armed forces to be deployed in Mozambique

    Shughuli imeanza kutokome magaidi
Back
Top Bottom