Habari wakuu,
Samahani naomba kuuliza swali. Kwanini ADC (Aide De Camp) wa Rais anapopanda cheo kutoka Kanali kua brigedia ni lazima aondolewe kwenye majukumu hayo ya upambe wa Rais na kupangiwa majukumu mengine?
Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...