mpanda mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kuuliza hivi, biashara ya movie library kwa Mpanda Mjini ikoje?

    Inakuwaje, watu wangu? Natumai mko poa! Binafsi niko fresh. Naomba kuuliza hivi, biashara ya movie library kwa Mpanda Mjini ikoje? Naamini kuna wadau wa Mpanda humu, na wengine waliowahi kuishi au hata kuhama lakini bado wanaifahamu vizuri Mpanda Mjini. Natanguliza shukurani zangu za dhati...
  2. LGE2024 Katavi: Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi, apiga Kura Kata ya Nsemulwa, apongeza mwitikio wa Wananchi

    Mbunge wa jimbo la Mpanda mjini mkoani Katavi Sebastian Kapufi amepiga kua katika kata Ya Nsemulwa kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa serikali za mitaa. Akiwa hapo Kafupi amesema kuwa hali ya watu kujitokeza ni nzuri huku akisisitiza watu kujitokeza mapema kwakuwa utaratibu unaotumika ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…