Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...