Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amefichua siri kuwa Watu walipanga kumuua wakati akiwa safarini nchini Iraq March 2021 lakini mauaji hayo yalizuiwa baada ya kupata taarifa za kiintelejensia kutoka Nchini Uingereza.
Papa amefichua njama hizo za jaribio la mauaji yake kwenye kitabu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.