Hellow wakuu,
Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of staff.
Chief of staff ndio mtu wa karibu zaidi na boss yeye ndiye huhusika na mipango yote ya Mheshimiwa...